£10,103.36 Raised
£10,000.00 Target
Kwa majonzi makubwa sana tunasikitika kutangaza kifo cha mwanachama mwenzetu, Rahima Ahmed kilichotokea siku ya Jumapili tarehe 15/12/2024 Coventry. UK.
Janazah imefanyika 17/12/2024 katika msikiti wa Shahjalal Mosque, 75 Smith Street, Coventry na pia mazishi yamefanyika 88 Paynes Lane, CV1 5LJ, Coventry.
Marehemu alikuwa anaishi kwenye anuani hii, 2 Ferguson Close, Coventry. CV4 9TL. Marehemu alijiunga kwenye shirikisho tarehe 18/7/2023 na kupata namba ya uanachama 1410. Next of kin wa marehemu ambaye ni mtoto wake anaitwa Filsan Mohammed. Namba yake ya simu ni 07467435887.
Kama ilivyo kawaida yetu watanzania, tunawaomba wanashirikisho watakaopata nafasi kwenda kuwapa pole familia ya marehemu.
Uongozi umekubaliana mchango wa msiba kwa kila mwanachama uwe ni £3.50. Mchango wa msiba uwekwe kwenye akaunti hii ya kaka wa next of kin,
JINA: MOHAMED MOHAMMED
ACCOUNT NO: 28068494
SORT CODE: 60-83-71
STARLING BANK.
Tunaomba uandike namba yako ya uanachama kwenye bank reference na ukishalipa LAZIMA uingie kwenye portal(account) yako ndani ya tovuti( website) ili u upload risiti yako kuthibitisha malipo yako ya msiba huu namba 13. Michango itahitajika kukamilishwa ndani ya siku 3, kwa kuchelewa basi siku 7 kama ambavyo katiba yetu inatutaka.
Zoezi la kukusanya mchango huu litafungwa rasmi jumanne midnight tarehe 24/12/2024, HAKUTAKUWA NA MUDA WA NYONGEZA.
Asanteni sana kwa ushirikiano wenu.