Death No 12 - Mtoto wa Ibrahim Musa & Asma Abubakar
Kwa majonzi makubwa sana tunasikitika kutangaza kifo cha Jamal Ibrahim Musa ambaye ni mtoto wa mwanachama mwenzetu Asma Abubakar.
Marehemu alizaliwa tarehe 29/06/2007 na amefariki tarehe 28/11/2024. Marehemu alikuwa anaishi katika anuani hii: 5 Homeleigh Terrace, Borderside, Slough. SL2 5FE.
Mama wa Marehemu alijiunga kwenye shirikisho tarehe 25/01/2024 na kupata namba ya uanachama 2708. Alitakiwa kuchangia misiba sita na amechangia yote. Next of kin wa marehemu ni Mama yake ambaye ni Asma Abubakar. Namba yake ya simu ni 07578330606.
Kama ilivyo kawaida na jadi yetu Watanzania, tunawaomba wanashirikisho watakaopata nafasi kwenda kuwapa pole familia ya marehemu.
Uongozi umekubaliana mchango wa msiba kwa kila mwanachama uwe ni £3.50. Mchango wa msiba uwekwe kwenye akaunti hii ya next of kin,
JINA: ASMA ABUBAKAR
ACCOUNT NO: 15862393
SORT CODE: 04-00-04
MONZO BANK
Tunaomba uandike namba yako ya uanachama kwenye bank reference na kama unalipia pia family member hakikisha namba zenu za uanachama kwenye bank reference zinaachanishwa na comma na ukishalipa LAZIMA uingie kwenye portal(account) yako ndani ya tovuti( website) ili u upload risiti yako kwenye msiba huu namba 12.
Michango itahitajika kukamilishwa ndani ya siku 3, kwa kuchelewa basi siku 7 kama ambavyo katiba yetu inatutaka. Zoezi la kukusanya mchango huu litafungwa rasmi Jumapili midnight tarehe 08/12/2024.
Asanteni sana kwa ushirikiano wenu.