MIMI NAONA APA TUNABURUZANA TU. WATANZANIA UWA TUNACHUKULIANA POA ALWAYS. ILA KUFUGWA KŴA GROUP, NA KUCHANGIA MISIBA ISYOELEWEKA. IT TEAM KUWA JEURI NA VIONGOZI KUTOPENDA KUONDIKA KWENYE POSITION NI KITU AMBACHO KITAPELEKA SHIRIKISHO KUFA. MIGHT NOT BE TODAY BUT SOON ITA HAPPEN. SO VIONGOZI ANZA KUJITAFAKARI SANA NA PEOPLE NEED TO DISCUSS KWENYE MAIN GROUP KERO ZAO. OTHERWISE SOMETHING IS GOING TO HAPPEN SOON IF NOT LATER.
Leave a Comment
You must be a Shirikisho member to reply to messages or to react to comments
Login Become a Member10 Comment(s)
Jane minga
Yes kuwepo na uwanja wa kuongea
HAPPINESS GEORGE WILLIAM
Mie naona group liendelee kufungwa juu ukisema ufungue group comment zitaja za mavurugano na issues itakuwa ngumu kuzitatua na wengi itakuwa ngumu kusoma message zikiwa nyingi na kufanya ku miss vitu vya muhimu, ila kama kuna mtu anazo hoja au matatizo au malalamiko basi azilete kwa viongozi na viongozi msipuuzie mzitatue na kuleta kwa group watu wajadiri asante
Finna
Hapana kwa kweli, kufungua kwa group kutaleta malumbano yasiyo kuwa na tija. Tuwaache viongozi wafanye kazi yao kwa amani. kama kuna mtu ana tatizo ingekuwa bora kuwe na Complains Procejure ambazo zifuatwe kuliko watu kushambuliana na kushambulia viongozi pasipo mpangilio. Viongozi hawa si wanajitolea jamani? Kama ndivyo basi tuwape heshima zao na kuwashukuru kwa kazi hii nzito wanayoifanya, hakuna binadamu aliyekamilika. kutupiana maneno hivi sio ustaarabu, na ndio maana watanzania tunashindwa kuwa na maendeleo ukilinganisha na wenzetu wa mataifa mengine
Fatma A Mohamed
Hapana. Lazima tuheshimu utaratibu ili wote tuelewane katika kudumisha ushirikiano wetu katika hili group.
Josiah Nyagechanga
Kusaidia
Josiah Nyagechanga
Kusaidiana
Josiah Nyagechanga
Charrlis
Josiah Nyagechanga
Charles
Firdous Mgonyezi
Ningependa group liendelee bali napendekeza viongozi wabunifu na waunda maendeleo sio viongozi wachache wanaolidhika na kidogo wanachopata wao au kutopata chochote, waamini kuwa wapinga kanisa au islamu siku zote wapo kila sehemu jambo zuri ni kuchukua maamuzi magumu kwa kuwa tupo wengi tungeweza kuchanga sio chini ya mara tatu Au 5 na tungepata vitu vya kutuingizia pesa hata hivyo vya kutoa michango yetu ya misiba isingetoka ktk account zetu kwangu naona hawa viongozi ni kama sio wanaharakati
B Maziku
Nafikiri group lisifunguliwe kuruhusu mijadala, kama shida ni kujua msiba, itafutwe namna ya watu kujua uhalali wa msiba