Tunataka Rasimu ya Katiba ambayo ilitengenezwa na Kamati ya Katiba na wala siyo hii mliyoiita The Final Version maana hii imechakachuliwa kwa manufaa ya wachache lakini Katiba iliyotengenezwa na Kamati ya Katiba ndiyo iliyo na masilahi ya wanachama au kwa jina jingine Wanashirikisho. Vilevile hii system ya kupiga kura haina uwazi wowote maana haionyeshi wangapi wamesema YES, wangapi wamesema NO na wangapi wamesema ABSTAIN. System inatakiwa kuonyesha hivyo tangia mwanachama wa kwanza kupiga kura lakini inachonyesha ni wangapi wamepiga kura tu. Pili kwa nini @ Mwenyekiti Tito hufungui main groups mnaongopa nini? Tunajua mnamalumbano sana huko kati ya Kamati Kuu na Wawakilishi.
Leave a Comment
You must be a Shirikisho member to reply to messages or to react to comments
Login Become a Member4 Comment(s)
Sauda Abdul Addey
Ndio
Sauda Abdul Addey
Ndio
Sauda Abdul Addey
Ndio
Sauda Abdul Addey
Sawa