• Haytham Rajab
  • 02/05/2026 05:55:42
  • 0 Comment(s)

Katiba

iv) Shirikisho litawajibika kutunza taarifa za faragha za wanachama kwa mujibu
wa sheria za GDPR, na kuhakikisha usalama wa taarifa hizo. Aidha, Shirikisho
litahifadhi siri za mwanachama wakati wa uhai wake na hata baada ya kifo
chake.
Suali.
Je, uongozi wa Shirikisho unafahamu kuwa kukiuka sheria za GDPR (General Data Protection Regulation) za Uingerezna kuhusu usalama wa taarifa za faragha za wanachama, hata kama Shirikisho halina fedha, kunaweza kuwa na matokeo gani kisheria? Na kwa njia zipi tunaweza kurekebisha au kukabiliana na ukiukaji huo bila kuwa na mtaji wa kifedha?

Leave a Comment

You must be a Shirikisho member to reply to messages or to react to comments

Login Become a Member
0 Comment(s)