• Emily
  • 09/11/2024 00:55:54
  • 1 Comment(s)

Rasimu ya katiba

Napenda kutoa maoni yangu sura ya 3, ibara ya 3(d)(v), inayosema kuwashirikisha watoto wetu (vizazi vijavyo) katika shughuli za SJWU ili waweze kujifunza, kulirithi na kulithamini, naona ibara hiyo iondolewe sababu inatoka nje ya malengo ya shirikisho.

Leave a Comment

You must be a Shirikisho member to reply to messages or to react to comments

Login Become a Member
1 Comment(s)
Dr Pro

Mie naona ibakie kuliwezesha SJWU kuendelea kuwepo, sie tukishatangulia. Labda mahandishi yaeleze jinsi gani ya kuwashirikisha, ambapo ni pamoja na wazazi/walezi kuwahimiza kujiunga na SJWU pale wanapotimiza umri wa kikatiba, 25yrs of their age.