• Dr Pro
  • 09/11/2024 19:16:17
  • 1 Comment(s)

Ibara 4 (g) Faida ya Mwanachama

Ibara ziondolewe, zinatoka nje ya lengo kuu la 'kufa na kuzikana'
.....na kama zinahusiahana na 'future vision', basi iwekwe wazi juu ya hilo.


iii) Kupata fursa ya kushiriki mikutano na matukio ya maendeleo ya
kijamii.
iv) Kupata fursa za kujiendeleza kupiFa programu za afya, afya ya akili,
ujasilia mali, misaada wa ushauri kisheria au kuelekezwa kwa mashirika
mengine yanayotoa msaada na huduma husika.

Leave a Comment

You must be a Shirikisho member to reply to messages or to react to comments

Login Become a Member
1 Comment(s)
Emily

Na mimi nimeona hivyo nilitaka nije kuandika pia kama wewe. Tunaomba ziondolewe hizo hapo juu.