Binafsi nahisi hivyo vipengele vimetoka nje ya dhumuni (not related na kufa na kuzikana!) kuu na ni mada kubwa anbazo labda zinahitaji vikundi pekee (stand alone objectives) kuweza kuzifanikisha?
v) Kutoa elimu ya kiafya kwa lengo la kupunguza vifo vinavyoweza
kuepukika na kuboresha ustawi wa kijamii.
vi) Kuandaa program za kuwaunganisha vijana, wazee na jamii kwa
ujumla wake ili kuwasaidia kuepuka uhalifu, magenge, matumizi mabaya
ya dawa za kulevya, pombe za kupindukia.
........hazihusiani kabisa na objective kuu ya, 'kufa na kuzikana'.
Leave a Comment
You must be a Shirikisho member to reply to messages or to react to comments
Login Become a Member2 Comment(s)
Dr Pro
Hizi ndo ibara za kuondolewa.......
v) Kutoa elimu ya kiafya kwa lengo la kupunguza vifo vinavyoweza
kuepukika na kuboresha ustawi wa kijamii.
vi) Kuandaa program za kuwaunganisha vijana, wazee na jamii kwa
ujumla wake ili kuwasaidia kuepuka uhalifu, magenge, matumizi mabaya
ya dawa za kulevya, pombe za kupindukia.
........hazihusiani kabisa na objective kuu ya, 'kufa na kuzikana'.
Emily
Kabisa vipo nje kabisa viondolewe tafadhali