• Rose Euphrase
  • 19/12/2024 19:02:51
  • 2 Comment(s)

Umri wa watoto chini ya miaka 25

Mimi ninaomba watoto kuanzia umri wa miaka 21 mpaka 25 wachangie msiba unapotokea, bila kujali kama wameolewa, wameoa, wako vyuo vikuu nakadhalika.

Asanteni.

Leave a Comment

You must be a Shirikisho member to reply to messages or to react to comments

Login Become a Member
2 Comment(s)
Beatrice Mbakile

Umri wa watoto kulipia minibar uamzia 18 plus

Beatrice Mbakile

Naunga mkono