• Chande Kigwalilo
  • 09/11/2024 19:19:15
  • 2 Comment(s)

Sehemu ya kuiongelea rasimu ya katiba

Pamoja na nia nzuri ya kutuleta hapa kwenye tovuti yetu, ni ukweli usiofichika uwakilishi wake hapa ni mdogo sana. Naomba uongozi utumie busara ya kuturudisha kwenye WhatsApp . Kutofanya hivyo ni kuwanyima wanashirikisho haki yao ya msingi katika kujadili katiba yao.

Leave a Comment

You must be a Shirikisho member to reply to messages or to react to comments

Login Become a Member
2 Comment(s)
Elizabeth Jackson

Iwekwe katiba mpya mimi nimelipia misiba yote lakini cha ajabu inasema nimelipia mitatu, pia nilimlipa mme lakini sioni cha maana hebu tuwekeni vizuri tuelewe

Dr Pro

Dada Elizabeth J, katiba mpya ndo hivyo katika mchakato, tunakaribisha maoni yako.

Kuhusu swala la misiba, usiwe na wasiwasi kama ulilipia misiba yote.
Wasiliana na IT watakurekebishia page ama details zako za malipo, ahsante🙏