Pamoja na nia nzuri ya kutuleta hapa kwenye tovuti yetu, ni ukweli usiofichika uwakilishi wake hapa ni mdogo sana. Naomba uongozi utumie busara ya kuturudisha kwenye WhatsApp . Kutofanya hivyo ni kuwanyima wanashirikisho haki yao ya msingi katika kujadili katiba yao.
Leave a Comment
You must be a Shirikisho member to reply to messages or to react to comments
Login Become a Member1 Comment(s)
Dr Pro
Ahsante kwa maoni yako mazuri, lakini pia tunahitaji kuwe na uwazi zaidi ktk hayo maoni, kumbukumbu zake ziwe wazi kwa kila mwanachama kuzisoma bila kupotea, ukilinganisha mfano kama mijadala itafanyika kupitia platform ya WhatsApp.
Watu waje hapa, pia wawe na mazoea ya kuitumia hii platform yao, wakati inazidi kuboreshwa. Ahsante 🙏