• Dr Pro
  • 09/11/2024 19:42:37
  • 0 Comment(s)

Ibara ya 4 (ix) ina maana gani?

ix) Ikiwa mwanachama wa SJWU anamiliki kampuni inayotafuta
kandarasi au zabuni ya kutekeleza miradi ya SJWU, Chinese wall itahitaji
kwamba mwanachama huyo ajitenge na mchakato wa kutoa zabuni,
asihusike kaFka uamuzi wa nani atapewa zabuni, na kutokuwepo kwenye
mikutano inayojadili suala hilo. Hatua hizi zinahakikisha kuwa kuna uwazi
na haki kaFka maamuzi
........again, hii hapa mahala pake?

Leave a Comment

You must be a Shirikisho member to reply to messages or to react to comments

Login Become a Member
0 Comment(s)